Ratiba ya UEFA yatoka si mchezo…!

December 20, 2008
.

.

Ratiba ya mtanange wa UEFA imetoka jana na timu kupangwa kwenye makundi. Katika ratiba hiyo ambayo ni ya kifo kutokana na jinsi timu zilivyopangwa Arsenal watamenyana na AS Roma ambapo kocha wa zamani wa Chelsea alisema anaombea akutane na Klabu ya Uingereza.


Bekham kutua Milan leo!!

December 20, 2008

Davee

Davee

Mwanasoka David Beckham anatarajiwa kuwasili Milan leo kwa ajili ya kujiunga na mkataba wake wa muda na klabu ya AC Milan, Boss wa mchezaji huyu anasema anatamani ampange Bekham kwenye mechi ya kesho na Udinese badala ya kukaa jukwaani kama mtazamaji.

Jezi mpya ya Bekham

Jezi mpya ya Bekham


%d bloggers like this: