Manchester hawajaridhika na adhabu ya FA kwa Evra!!

December 6, 2008

.

Patrice Evra kulia akiamliwa baada ya kutaka kupimana ubavu na ofisa wa uwanja wa klabu ya Chelsea. FA imemhukumu Evra kwa kitendo hicho

Timu ya Manchester United imeonyesha kutoridhika kutokana na hukumu ambayo chama cha soka nchini humo kimempatia mchezaji wake Patrice Evraambaye aliingia matatizoni baada ya kupimana ubavu na mmoja wa maofisa Klabu ya Chelsea mapema mwaka huu. Kwenye statement ambayo klabu  hiyo imeitoa kwa waandishi wa habari inaonyesha kutoridhika na hukumu ambayo chama hicho kimempatia mchezaji huyo, Katika uamuzi wake FA imeipiga faini ya Paund 25,000 Chelsea kwa kitendo hicho pia. Gonga hapa usome zaidi


Maradona na Che Guevara

December 6, 2008

.

.

kocha wa timu ya taifa ya Argentina Diego Maradona akiwa amenyanyua juu zawadi ya picha ya Mwanamapinduzi wa Latin America  Che Guevara ambayo alipewa zawadi wakati wa Kuweka jiwe la msingi la shule ya mchezo wa mpira wa miguu huko Calcuta India, leo jumamosi Dec. 6, 2008.


Wamkumbuka Edger Davis?

December 6, 2008

.

.

Mchezaji wa LA Galaxy David Beckam akikumbatiana na mchezaji wa Oceania All Stars Edger David baada ya mchezo baina ya timu hizo uliofanyika  Mount Smart Stadium on December 6, 2008 in Auckland, New Zealand.Wengi watamkumbuka mchezaji huyu kwa umaarufu wake na miwani zake maalum anazo vaa kwa sababu ya ugonjwa unaitwa kitaalam glaucoma , Davis amewahi kuzichezea AFC Ajax, A.C. Milan, Juventus FC, FC Barcelona, Internazionale, Tottenham Hotspur na baadaye tena AFC Ajax.


%d bloggers like this: