Dakika 90 za mwisho za Madilu System.

Huku ukiwa umepita mwaka mmoja tangu gwiji la Muziki la Congo Bialu Makiese au kama alivyojulikana Madillu System afariki dunia bado mwanamuziki huyu ataendeleaa kukumbukwa kutokana na mchango wake kwenye sanaa nzima ya muziki si tu kwa Congo bali hata Africa nzima na nje ya bara la Africa pia. Madilu alifariki jumamosi usiku wa August 11 2007 huko Kinshasa akiwa na miaka 57 baada ya kuugua kwa muda mfupi, kifo kilichosemwa kimetokana na shinikizo la damu lililochangiwa zaidi na kisukari. Habari za msiba huu zilimshtua kila mmoja na kisha kufuatiwa na maombelezo na hatimaye kuupumzishwa mwili wake, Katika Video hii angalia Mkusanyo wa Dakika 90 za masaa ya mwisho ya Madilu kusafirishwa kwenye nyumba ya milele. Video hii ni ndefu ya dakika 90 hivyo inahitaji Uwezo mkubwa kidogo wa Komputer 1Gb Memory itacheza vizuri zaidi.

Angalia jinsi mbwembwe za wanamuziki wa Kongo katika msiba huu tokea JB JB Mpiana, Werasson, Lotumba, King Kesta Emeneya, Mbilia Bell, Celeo Scam, Didie MAsela na wengineo wengi kila mmoja akiingia na mbwembwe zake.

7 Responses to Dakika 90 za mwisho za Madilu System.

 1. Ndesa says:

  Mkuu nimeikubali hii
  Bonge ya Documentary

 2. faustine crispine kaguti says:

  Kaka nimekubali hii ni bonge la story,mbona story zenyewe zipo chache weka aina tofauti za story mbona zipo nyingi,kama za Mayaula,

 3. Anonymous says:

  KAWAIDA

 4. ALLY GEOGRE says:

  KIKWELI NAWEZA SEMA HAKUNA MSANII AMEUMIZA MOYO WANGU KAMA MADILU MUNGU AWEKE LOHO YAKE MAHALIPEMA

 5. JOHN KODI says:

  kwakusema kweli nyimbo za madilu huwazinanifaliji sana mungu amrehem kwa kazi zake nzuri,

 6. online bingo sites

  Dakika 90 za mwisho za Madilu System. | Spoti na Starehe

 7. steven mkimbo says:

  mungu ailaze pema peponi ndugu yetu madiru systim

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: