Ndondi…

December 2, 2008
.

.

Bondia wa Venezuela Jorge Linares akivishwa mkanda wa ubingwa baada ya kumtwanga bondia toka Panama City katika kugombea ubingwa uzito wa Super Feather chini ya Shirikisho la Ndondi la Dunia, Nov. 28, 2008. Linares alimtwanga Whyber Garcia kwa knock out katika round ya 5. (AP Photo/EPASA


Red Ribbon gala ilivyofana

December 2, 2008

Moja ya vazi lililobuniwa na Rose Valentine wa Unique Fashions
Ubunifu wa Jamila Swai
Vazi hili lilibuniwa na mbunifu mwingine aitwaye Jamila Swai

Vazi hili lilibuniwa na mkongwe wa ubunifu wa mavazi hapa bongo Asia Idarous wa Fabak

Pichani ni picha za onesho la Red Ribbon Fashion Gala 2008 ambalo lilifanyika hivi karibuni ndani ya hotel ya Movenpick,onesho hilo liliandaliwa na taasisi isiyo ya kiserikali ya Tanzania Mitindo House a.k.a TMH hivi karibuni.

Aidha katika onesho hilo wabuni hao walitumia Kondom kwenye mavazi ili kupiga vita gonjwa hatari la UKIMWI,Wabunifu hao walieleza kuwa dhumuni la kutumia Kondom ni kuhakikisa wanatutaepukana na UKIMWI na pia itasaidia kupunguza na kudhibiti kabisa idadi ya watoto wanaozaliwa na virusi vya UKIMWI.

Picha kwa hisani ya  I-View Photography


%d bloggers like this: