Deplaizir akamilisha mambo na wakali

.

.

Producer Bakunde (Mwenye shati Jeupe juu) akiwa na mwanamuziki Blanchard Deplaizir katika Studio zake hii ikiwa ni baada ya MWanamuziki huyo kuweka Vocal katika nyimbo ambazo amerekodi na Lady Jay Dee (picha ya chini), Banana Zoro na Vijana wa Masauti wa Akudo Sound. Mpaka tunakwenda mitamboni Jaya Dee na Banana (Picha ya chini akiwa na Baba yake Zahir Zorro)  walikwisha ingiza Vocals zao na kwa mujibu wa Meneja wa Deplaizir Bibie Sophia Kessy wa Africa Bambataa nyimbo zimesimama kinoma, Big Producer Maghambo kaa mkao wa kula.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: