Selamat Hariraya Eid El Fitr!!

.

.

Napenda kuchukua nafasi hii kuwatakiwa wapenzi na wasomaji wa Blog hii Sikukuuu njema ya Eid, tusherehekee kwa amani bila kuvunja sheria na kwa wale wenzangu na mimi wa Ugimbi basi tusipitilize, tugusie kidogo tu kwa Suna, wale tunaofunga 6 usithubutu kuugusa uyimbi.

Wabillah Tawfiq

2 Responses to Selamat Hariraya Eid El Fitr!!

  1. Mwemtsi says:

    Thanx man same to you

  2. Mwemtsi says:

    Mkuu twashukuru sana ila zikurudie na wewe

Leave a comment