Masikini Latoyaaa!!

Latoya

Latoya

Mwakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Big Brother Africa BBA3 Latoya amekuwa wa kwanza kutoka katika jumba la mashindano hayo baada ya kupigiwa kura na mashabiki.

Latoya ambaye alikuwa akilalamikiwa na mashabiki wa nyumbani kuwa aliingia mambo kwa kasi kwa kitendo chake cha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mshiriki mwenzie siku ya tatu tuu katika jumba hilo, amekuwa gumzo hasa kwa tabia hiyo ambayo haikuwapendeza wengi wa mashabiki wa mchezo huo na jamii kwa ujumla.

Tanzania ilikuwa na jina zuri tkea mashindano ya kwanza ambapo muwakilishi Mwisho Mwampamba alifanya vizuri kwa kuchukua nafasi ya pili na mwakilishi mwingine kwenye mwaka ulifuata Richard alifankiwa kushik nafasi ya kwanza.

Karibu nyumbani mama!

4 Responses to Masikini Latoyaaa!!

  1. Mdaudau says:

    Nilijua utaishia njiani umetuabisha lakini ndio tunajifunza kwa makosa.

  2. Nsia says:

    yaani mimi toka mwanzo tu nilijuwa mwaka huu atuna kitu jamani m net yani katika wale wote mliona huyu dada ndo anawafaa jamani ametutia aibu sana yani jana nilikuwa natamani nipasue tv kwa sababu alikuwa anatukera sana kaenda kuboronga tu uko .mshamba kweli tena ana ataaibu eti najuwa nimeshakuwa super star kwaiyo yeye alichotaka nikutoka nakuwa mtu maarufu .mjinga kweli tena umetuaibisha ma dem wabongo tu naonekana wahuni tu

  3. Mtutsi says:

    Huyu hana nyimbo huyu ametuaibisha sana. anyway hongera kwa kutoka maana umeepusha aibu zaidi.

  4. angie says:

    mmh mi nilishajua from the begining yaan bora umetoka dada maana ungepewa chance ungetuaibisha zaidi,kama mlimsikia akimwambia Tawana kuhusu kujihusisha na Munya kama atarudishwa kwenye house huyu demu ni sooo hana msimamo kabisa,mnet tunaomba muwe mnawajua washiriki kwa undani b4 kuwapa dhamana ya kuwakilisha Taifa

Leave a comment