Wapenzi wa Lopele USA na CANADA JB Mpiana huyo aja!

Bango mojawapo la ziara ya JB Mpiana

Bango mojawapo la ziara ya JB Mpiana

Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu kundi la Wenge BCBG toka Congo likiongozwa na mwanamuziki mahiri JB Mpiana wamepata VISA za miezi mitatu na wataanza kuporomosha vitu tarehe 19 mwezi huu. Kundi hilo litafanya maonyesho Huston, Dallas na Los Angel na maonyesho mengine yatatangazwa hapo baadaye.

Kwa mujibu wa Digital Congo ratiba iko kama ifuatavyo:

 • 20 September 08 – Dallas TX USA
 • 26 September 08 – Los Angeles CA USA
 • 27 September 08 – Los Angeles CA USA
 • Baadaye mwezi October watakwenda Canada na baadaye kumalizia USA tena kabla ya kurudi Congo kwani tarehe 22 December JB na kundi zima la wenge wana onyesho la kufa mtu huko Grand Hotel ya Kinshasa.
 • Advertisements

  One Response to Wapenzi wa Lopele USA na CANADA JB Mpiana huyo aja!

  1. Mdaudau says:

   Jamani yaani hakuna wa kuwakutanisha JB na Wera kwa kweli kama wako tayari kukutana na wanataka mfadhili sasa si mjitokeze wanalipa hawa Kusaga wapeleke Taifa watu watatoka kila kona itakulipa kaka.
   Mdaudau

  Leave a Reply

  Fill in your details below or click an icon to log in:

  WordPress.com Logo

  You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

  Google+ photo

  You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

  Twitter picture

  You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

  Facebook photo

  You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

  w

  Connecting to %s

  %d bloggers like this: