Ray C aja na “Nihurumie wangu”

Rehema Chalamila AKA Ray C

Rehema Chalamila AKA Ray C

Baada ya kimya kirefu toto la kihehe mahiri ktk miondoko ya muziki wa kizazi kipya Rehema Chalamila (Ray C) ameachia track mpya iitwayo ‘Nihurumie Wangu’.

Ray C anasema aliamua kukaa nje ya ‘gemu’ kwa muda akiwa anausoma muziki na soko linavyokwenda,huku akiwapa nafasi wasanii chipukizi kuonyesha uwezo wao. ”Sio siku zote unapenda kuonekana wewe tu, ni vizuri kupisha wengine kuonyesha uwezo wao,nimekuja tena upya ndani ya ‘gemu’ sasa ni moto mkubwa unawaka na hakuna kurudi nyuma tena,mambo ni mbele kwa mbele,”amesema Ray C.

Msanii huyo amesema ujio wake huo,ni moja ya maandalizi ya kuachia albamu yake mpya itakayotoka hivi karibuni ikiwa imesheheni nyimbo kibao zilizosimama sambamba na kkuwashirikisha wasanii maarufu wa ndani na nje ya nje ya Bongo.

Aidha, amesema amejifunza mengi kuhusu muziki, baada ya kufanikiwa kufanya maonyesho kadhaa nchi za Uingereza,Marekani,Sweden,na kuweza kumpa mwanga zaidi kimuziki.

Na Dar Hot Wire

Advertisements

15 Responses to Ray C aja na “Nihurumie wangu”

 1. Mwele says:

  Huyu binti ni mrembo mi mwenyewe mwanamke mwenzangu namzimia jamani
  Mzuri sana kwa kweli, na anaimba vizuri ila sasa watu wanamtumia, anatumika sana jisitiri mtoto mrembo wewe

 2. Flora Wado says:

  ilove soo much .in Arusha take care baby gal

 3. Flora Wado says:

  i mean that mimi na stay at Arusha

 4. NANCY says:

  YES RAY C WE ARE WAITING DADA AM A GIRL FROM ARUSHA .i LIKE YOUR AL SONGS AND I WELL ALWAYS LIKE THEM.YOU ARE GOOD AND YOU SINGING VERY WELL.BUT SOMETIME YOU MUST CHANGER THE WAY YOU WEAR SAWA.COZ SOMETIME WE ARE WITH OUR PARENTS YOU KNOW.THE WAY YOU WEAR IS NOT GOOD.I LOVE YOU DADA

 5. Satrie Gal says:

  I ril appreciate u bayb,kip’it up……..u so “HOT” m2 wangu**

 6. ayishakeys says:

  naitwa ayishakeys nampendasaanahuyu binti. ayishakutokarwanda.

 7. john says:

  this lady is gourgeous and at times i wonder whether she can stoop too low to embrace pornography as alleged in the media. dada take care coz this is going to spoil your good image.keep up the spirit burning mrembo!

 8. jane says:

  jamani ry c upo juu na unakubalika tatizo ni hapo tuuu kwenye tunda yaani dada umeshindwa kabisa kujicontroo kwa nn lakini kila mwanaume unamtaka ww kwanza wana kusema wanakuchora jisi ulivyo na kasoro zako zote wanatoa kuwa na mwanaume moja hata km ni ustaa si kihivyo

  yaani nakuzimia sana bali tabia sasa kweli inabore upo bomba bali tabia tuuu inabore ok jirekebishe

  just peace and love dada

 9. edd says:

  What is all that shit about some porn you’ve done? any body seen them? send me the site they are published.

 10. kungulu says:

  sasa rey c hilo jamaa ndilo linalo kukanyaga sasa maana na wewe haupigiwi wacheza sijui unajiona unaviuno sana,inaonekana ni propa ganda za nje ndani huna lolote kupagawisha tuu2 watu enjoy na mishobobo mingine mikubwa shauli yakoo huko nako kunazeeka kama bibi

 11. jane ngoma says:

  mambo yako niaje wangu , unatisha mama kaza buti usisikilize ya watu kuhusu maisha ww fanya ujisikiavyo si kupangiwa na mtu

 12. namagana says:

  ustarabu muhimu

 13. Judith Joseph says:

  Nampenda sn dada Rehema,Mwenyezi akubariki uwe na afya njema daima

 14. Thade says:

  Ongela Aca Tuonevyake.

 15. Great Aricle! I agree completely with you here. It is a very valuable and helpful collection of blogs. I am trying to gain information from all these. Really useful. Thank you..!!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: