Extra Musica ya ROGA ROGA yapata tuzo ya bendi bora kwa kipindi cha miaka 10 (Best Group of the decade) kutoka KUNDE MUSIC AWARD ya Burkinafaso!ubora huo Extra wameuonyesha kuanzia mwaka 2001-2011..pata mahojiano kati ya Roga roga na mwanahabari akielezea anajisikiaje bendi yake kupata heshima hiyo.
Moja ya kazi zilizoipatia extra tuzo hiyo,kitu kinaitwa- Plus Tard ,sikiliza masauti hapa vijana wanalia..
Advertisement
















kwangu roga roga ndio mpiga solo bora kuliko wote kwa kipindi hicho chote cha miaka 10…………..kweli hakuna kama roga roga..!
Best African Guitarists of all time
1. Diblo Dibala
2. Alain Makaba Prince
3. Flam Kapaya
4. Rogaroga Missile
5. Franco Luambo Makiadi
Hiyo list isibadilishwe mpaka nirudi…mbarikiwe
1.ABIDJAN 1998
2.FRANCO- MI-SOLO AND FULL SOLO
3.DIBLO DIBALA
4.BUKINAFASO
Ahsanteni wadau kwa maoni yenu tena naziheshimu. Hadj nakubaliana kwamba Roga ana talanta zinginezo zaidi na kucheza tu gitta, na hata Makaba kwa arrangement na piano, na pia Flam kwa composition. Pia Tyson na Bikinafaso na wengine wengi wanaostahili kuwa kwenye orodha hii. Jambo kuu nililokuwa nikiangazia wenzangu ni orodha ya ‘ujuzu halisi ya gitaa’ pekee ukiachana na ujuzi na zana zinginezo. Anyway, hayo ni maoni yangu tu…..mko huru kueleza zaidi sababu za chaguo zenu
Du wako wengi wengine ni kama
1. Tyson wa Q.Latin
2. Japonais sijui sasa hivi yupo wapi lakini alikwa Maison Mere
Msimsahahu Beniko, alimpandisha sana Kofi, na mpka leo upigaji solo wa quartier Latin una mahadhi ya kibeniko
wote hao mliowataja na mtakaowataja ni wazuri,lakini to be honest Roga Roga anawazidi mambo mawili matatu,Roga Roga anaimba na kucheza sana wengine hapo ni watu wa kusimama kama milingoti ukiacha makaba ambae huwa anajitahidi kuyumba japo kidogo,lakini Roga roga is a good dancer..
Ahsanteni wadau kwa maoni yenu tena naziheshimu. Hadj nakubaliana kwamba Roga ana talanta zinginezo zaidi na kucheza tu gitta, na hata Makaba kwa arrangement na piano, na pia Flam kwa composition. Pia Tyson na Bikinafaso na wengine wengi wanaostahili kuwa kwenye orodha hii. Jambo kuu nililokuwa nikiangazia wenzangu ni orodha ya ‘ujuzu halisi ya gitaa’ pekee ukiachana na ujuzi na zana zinginezo. Anyway, hayo ni maoni yangu tu…..mko huru kueleza zaidi kuhusu sababu za chaguo zenu
Bwana Predator tunaposema Roga rogaukiacha gita anawazidi hawa wenzake tunamaanisha hivi,hebu icheck hiyo live concert hapo chini upime mwenyewe then uniambia jamaa anawazidi nini wapiga magita wenzake….
Hadji video nimeitazama tena nimeyasikia maoni yako lakini bado wewe umesisitiza talanta zake zaidi na kipiga gitaa. Nakubaliana nawe kwamba anawashindia wenzake ujuzi zingine nyingi lakini hoja langu bado ni ile ile; kwamba tukitenga ujuzi wa gitaa peke yako kando, hamfikii Alain Makaba na Diblo Dibala. Unaonaje?
poa…
HIKI NDIYO KIZAZI KIPYA CHA MAKABA NDANI YA BCBG!! AMINI USIAMINI!!!
MWAMBA(BABA WA URITHI NA MIRATHI)
MBOKA
BUKINAFASO
MOLESSOOO!!KUSHOTO + KULIA
PATOU SOLO(MSHIKA MIKOBA)
………………….
JE UNAJUA MAANA YA SOLO NA MI -SOLO??
KWA UPANDE WA EXTRA MUZIKA …MWANZILISHI WA STAILI ZA UCHEZAJI WAO NI AFANDE(BCBG)…KAMA WEWE NI MDAU WA MAKASIA …..TAFUTA LIVE ZA BCBG ENZI ZA AFANDE HALAFU UTANIPA MAJIBU…..
BILA MAKABA….HAKUNA ROGAROGA LIBERATOR!!!!!
HIKI NDIYO KIZAZI KIPYA CHA MAKABA NDANI YA BCBG!! AMINI USIAMINI!!!
MWAMBA(BABA WA URITHI NA MIRATHI)
MBOKA
BUKINAFASO
MOLESSOOO!!KUSHOTO + KULIA
PATOU SOLO(MSHIKA MIKOBA)
………………….
JE UNAJUA MAANA YA SOLO NA MI -SOLO??
KWA UPANDE WA EXTRA MUZIKA …MWANZILISHI WA STAILI ZA UCHEZAJI WAO NI AFANDE(BCBG)…KAMA WEWE NI MDAU WA MAKASIA …..TAFUTA LIVE ZA BCBG ENZI ZA AFANDE HALAFU UTANIPA MAJIBU…..
BILA MAKABA….HAKUNA ROGAROGA LIBERATOR!!!!!
HIKI NDIYO KIZAZI KIPYA CHA MAKABA NDANI YA BCBG!! AMINI USIAMINI!!!
MWAMBA(BABA WA URITHI NA MIRATHI)
MBOKA
BUKINAFASO
MOLESSOOO!!KUSHOTO + KULIA
PATOU SOLO(MSHIKA MIKOBA)
………………….
JE UNAJUA MAANA YA SOLO NA MI -SOLO??
DIDIIII MASELA (BASIIII)
SUNDA BASS (inheritance)
KWA UPANDE WA EXTRA MUZIKA …MWANZILISHI WA STAILI ZA UCHEZAJI WAO NI AFANDE(BCBG)…KAMA WEWE NI MDAU WA MAKASIA …..TAFUTA LIVE ZA BCBG ENZI ZA AFANDE HALAFU UTANIPA MAJIBU…..
BILA MAKABA….HAKUNA ROGAROGA LIBERATOR!!!!!
mara anonymous kasema, mara peter kasema…mnanichanganyisha siwaelewi
bwana peter naona sio mtaalam wa matumizi ya mtandao ndio maana,amekuwa akichanganya mambo sana kwenye comment zake,mara nyingi anatuma comment yenye ujumbe mmoja mara mbili,peter rekebisha hili,unazingua..
Mamaa prezidaaa (werasonique) nimekupata nitarekebisha hilo ni mambo ya misisitizoo tu na HOT SPICE NDANI YA MADA…Merci mingi!!