Rose ndani ya Jackz

rose

Mwanadada Rose Ndauka wa Bongo Movie akipose kwa picha baada ya kuchagua mazagazaga ndani ya duka la Jackz Cosmetics lililopo Mikocheni, Jackz Cosmetics ni mmoja wa Sponsors wa Miss Dar City Centre ambapo mambo yote ya Urembo yanatoka kwao.

Leave a comment