Robinho haami Man City ng’oo!!

image

Habari za kuaminika toka klabu ya Manchester City zinasema kuwa mchezaji Mbrazir Robinho hatikihama kikosi hicho.

Awali habari zilizagaa kuwa Robinho alitarajiwa kuhamia Barcelona mwanzoni mwa mwaka kesho. Habari zinaziri kuhabarisha kuwa Robinho ameingia mkataba ambao mwenyewe amesema hawezi kuuvunja na atachezea timu hiyo hadi mkataba utakapomalizika.

Leave a Reply