Zawose akonga nyoyo za mashabiki – Rainforest Music Festival – Malaysia

image

Tamasha la Rainforest ambalo linakusanya wasanii toka kila pembe ya dunia hapa Malaysia limefanyika kwa siku tatu huku Africa ikiwakilishwa na mwanamuziki Hukwe Zawose. Tamasha la mwaka huu lilikuwa na vikundi vingi lakini kwa mujibu wa magazeti ya Malaysia Zawose alifanikiwa kukonga nyoyo za mashabiki na washiriki wenzake hasa kwa mavazi yao pampja na jinsi wanavyoimba na kupiga ala zao za asili.

Tamasha la Rainforest Music World Festival linafanyika kila mwaka katika jimbo wa Sarawak na linafanyika katika misitu ya Santubong na kujuisha vikundi mbalimbali toka duniani kote likiwa na sura ya utamaduni zaidi likiambatana na workshop mbalimbali.

image

kwa habari zaidi gonga hapa na hapa

image

Leave a Reply