MAKING THE VIDEO YA WIMBO MPYA "TEJA" LADY J D

Katika harakati za kukamilisha album yake ya Tano, ambayo inaitwa YA 5…hivi karibuni mwanamuziki Lady Jay Dee alikuwa busy na shooting ya baadhi ya nyimbo kwenye albamu hiyo ya Tano, Moja ya wimbo uliomo humo ni huu unaitwa Teja, sina mengi ya kuongea picha zinaongea zaidi na subiri uone Albamu hiyo toka kwa mwanamuziki Jay Dee akiwa ni kati ya wanamuziki wachache walianza kwa moto na kuendeleza vilivyo.

Leave a Reply