Distance ya Lady Jay Dee kwa waliombali na wapenzi wao!!

Ijumaa ya leo naomba nikurudishe nyuma kidogo nikukumbushe kibao cha Lady Jay Dee – Distance na kibao hiki kwa wale wote wanao practice Long  Distance Relationship nikiwemo na mi mwenyewe!! tunawaburudisha na kuwariwaza ki spoti.

Leave a Reply