Fally Ipupa apata mpinzani kwa utanashati…

Fally Kushoto na Capuccino Kulia

Fally Kushoto na Capuccino Kulia

Mwanamuziki  Capuccino AKA Capu LEgend wakiwa wanamfananisha na mwanamuziki John Eti Legend. Huyu ni muimbaji wa Werasson ambaye inasemekana ndio anayevutia wanawake zaidi na kumpiku Fally I Pupa .. mi simo sijui wakina dada wanasemaje?

Hivi  majuzi mwanamuziki Fally Ipupa alikuwa Dar Es Salaam na tuliona jinsi akina dada walivyopapatika na kwa mwanamuziki Capuccino amekuwa akigombewa kila Werasson afanyapo onyesho.

2 Responses to “Fally Ipupa apata mpinzani kwa utanashati…”

  1. oliver omondi Says:

    fally pupa ur de best infact i like ur part in martnes

  2. glady Says:

    ME ni mpenzi sana wa ngiama na Pia fally lkn kwa upande wangu me naona naona ni wakawaida sana mbona hata hapa bongo tunao watanashati kibao sema labda kwa kuwa fally na cappuccino wako juu.

Leave a Reply