Siku Nyota wa Africa walipojumuika pamoja huko Abidjan-Ivory Coast

Fally Ipupa shoto akiwa na Drogba fukweni huko Abdijan, Ivory Coast

Fally Ipupa shoto akiwa na Drogba fukweni huko Abdijan, Ivory Coast

Fally Ipupa akiwa na Mchezaji mahiri wa Cameroon Rigobert Song na Tuzo zao walizopatiwa

Fally Ipupa akiwa na Mchezaji mahiri wa Cameroon Rigobert Song na Tuzo zao walizopatiwa

Diddie Drogba akikata ma Lopele na Fally Ipupa jukwaani

Diddie Drogba akikata ma Lopele na Fally Ipupa jukwaani

Kama uliangalia Filamu ya The Last King of Scotland basi huyo anayekata Lopele kulia ndiye Starring kwenye Filamu hiyo akiwa na Fally Ipupa jukwaani.

Waziri wa Technolojia ya Habari na Mawasialiano (ICT) Ahmed Bakayoko akijumuika na Fally Ipupa jukwaani.

Fally kushoto akiwa na Samuel Et'oo wa Cameroon

Fally kushoto akiwa na Samuel Et

Tamasha hili lilifanyika Mwishoni mwa mwezi juni huko Abidjan ambapo pia Masusper Star hao walipewa tuzo kutokana na mchangio wao kwenye Sekta nzima ya Burudani na Michezo.

One Response to “Siku Nyota wa Africa walipojumuika pamoja huko Abidjan-Ivory Coast”

  1. Anonymous Says:

    oh mein goog fally ipupa you are the king of pop

Leave a Reply