
Tusker ya Kenya wakishangilia na Medali zao, Picha na Habari Leo
Na Habari Leo
Timu ya Tusker ya Kenya leo ilitawaza kuwa mabingwa wapya wa taji la michuano ya Kombe la Kagame baada ya kuichapa timu ya URA ya Uganda kwa mabao 2-1 kwenye mchezo wa fainali uliofanyika kwenye Uwanja Mpya wa Taifa jijini Dar es Salaam. Read the rest of this entry »
Posted by piusmickys 
Posted by piusmickys 
Posted by piusmickys 











